Western Indian Ocean Marine Science Association

Sign up for WIOMSA Membership

Publications

Showing Publications

Usimamamizi wa Kijamii wa Rasilimali za Bahari: Muongozo kwa Wanajamii wa Nchi za Kenya na Tanzania

Muongozo huu ambao unapatikana kwa lugha zote mbili za Kiingereza na Kiswahili umepangwa kutoa mwongozo kwa wanajamii na watumizi wa rasilimali ambao wangependa kusimamia rasilimali zao kwa kuanzisha mikakati ya usimamizi wa kijamii  wa maeneo ya mwambao na rasilimali za baharini. Haijadhamiriwa uwe muongozo unaokwenda hatua kwa hatua lakini ni kama utangulizi wa mifano muhimu […]
Read More Download Full Report

Local Management of Marine Resources: A Guide for Communities in Kenya and Mainland Tanzania

This guide available in both English and Kiswahili, has been designed to provide guidance to community members and resource users who wish to manage their own natural resources by developing a strategy for local management of their coastal areas and marine resources. It is meant not as a comprehensive step-by-step guide, but rather as an […]
Read More Download Full Report