Usimamamizi wa Kijamii wa Rasilimali za Bahari: Muongozo kwa Wanajamii wa Nchi za Kenya na Tanzania
Muongozo huu ambao unapatikana kwa lugha zote mbili za Kiingereza na Kiswahili umepangwa kutoa mwongozo kwa wanajamii na watumizi wa rasilimali ambao wangependa kusimamia rasilimali zao kwa kuanzisha mikakati ya usimamizi wa kijamii wa maeneo ya mwambao na rasilimali za baharini. Haijadhamiriwa uwe muongozo unaokwenda hatua kwa hatua lakini ni kama utangulizi wa mifano muhimu […]